Dira
Maisha Mazuri kwa Wananchi wote wa Wilaya ya Magu ifikapo Mwaka 2025.
Dhima
Halmashauri ya Wilaya ya Magu inakusudia kuinua kiwango cha Maisha ya Wananchi wake kwa kutoa huduma bora zenye kulenga mahitaji yao,Kuwashirikisha katika Mipango yao ya Maendeleo na kutumia vizuri Rasilimali zote na Kufuata Misingi ya Utawala bora.
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Magu. Haki zote zimehifadhiwa