Thursday 12th, September 2024
@KITUO CHA AFYA KISESA
Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Magu Mohamed Ramadhani anawakaribisha wananchi wote kushiriki katika uzinduzi wa wiki ya unyonyeshaji maziwa ya mama duniani utakaofanyika katika kituo cha afya kisesa siku ya Alhmisi Agost 1-2024 kuanzia saa 2:00 asubuhi.
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Magu. Haki zote zimehifadhiwa