• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
MAGU DISTRICT COUNCIL
MAGU DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Magu

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Orodha ya viongozi Waliopita
      • Wenyeviti wa Halmashauri
      • Wakurugenzi
      • Wakuu Wa Wilaya
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo , umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Utumishi na utawala
      • Idara ya Mipango
      • Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Fedha
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Ugavi
      • Kitengo cha Tehama
      • Internal Audit Unit
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kivutio cha Utalii
      • Bujora
    • Miundombinu ya Umwagiliaji
  • Huduma
    • Afya
    • Maji
    • Elimu
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Baraza la Madiwani
      • Wajumbe wa Baraza la Madiwani
      • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya UKIMWI (CMAC)
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya vikao vya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Maeneo ya uwekezaji
    • Bajeti
      • 2016/2017 Budget
    • TASAF
    • Mpango Mkakati
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Ripoti
    • sheria
    • Fomu mbalimbali
    • Zabuni
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari

Ardhi na Maliasili

Sekta za Ardhi na Maliasili kwa pamoja zinaunda Idara ya Ardhi na Maliasili katika Halmashauri ya Wilaya ya Magu ikiwa na sehemu (6). Sekta ya ardhi inaundwa na vitengo vinne (4) ambavyo ni mipango miji na vijiji, upimaji na ramani, uthamini, na usimamizi wa ardhi. Wakati sekta ya maliasili inaundwa na wanyamapori na misitu.

Idara ina jukumu yafuatayo:-

  • Kusimamia mfumo wa utayarishaji ramani kwa kompyuta.
  • Kushauri Halmashauri kuhusu masuala ya upimaji na utayarishaji ramani.
  • Kukagua kazi za upimaji na kuziwasilisha kwa Mkurugenzi wa Upimaji na Ramani
  • Kufanya ubunifu wa ramani mpya
  • Kutoa ushauri kwa wateja kwa ajili ya ramani maalum (thematic map)
  • Kufanya operasheni za upimaji
  • Kufanya uchambuzi wa takwimu (data processing and analysis)
  • Kutayarisha alama za upimaji (survey plan beacons)\
  • Kupanga na kuandaa mahitaji ya kambi za upimaji, vifaa vya upimaji na mahitaji ya jumla.
  • Kuandaa na kuchambua vifaa kwa ajili ya utayarishaji ramani.
  • Kuchambua, kushona, kukata na kuunganisha nyaraka zilizochapwa. Doria kusimamia sheria, taatibu na miongozo ya Idara.
  • Kulinda maisha ya wananchi na mali zao dhidi ya wanyamapori waharibifu na wakali.
  • Kutoa elimu ya uhifadhi, usimamizi na matumizi endelevu ya wanyama pori.
  • Ukusanyaji maduhuli na kazi za utawala.

Matangazo

  • Tangazo la Kuitwa kwenye Usaili November 07, 2017
  • Tangazo la nafasi za kazi September 18, 2017
  • Tangazo la kuitwa kwenye Usaili August 24, 2017
  • Tangazo la Nafasi za Kazi Halmashauri ya Magu August 04, 2017
  • Angalia zote

Habari mpya

  • Mbunge wa Jimbo la Magu Akabidhi Gari la Kubebea Wagonjwa Katika kituo cha Afya Kabila

    April 17, 2018
  • Uhamisho wa watumishi wa MSM Machi, 2018

    March 27, 2018
  • Naibu Waziri OR-TAMISEMI Aweka Jiwe la Msingi katika Shule ya Sekondari Lumve

    March 16, 2018
  • Mkuu wa Wilaya Akagua Shughuli za Ujasiriamali Zinazofanywa na Wanawake

    March 10, 2018
  • Angalia zote

Video

ziara ya waziri mkuu wilayani Magu katika kiwanda cha LAKAIRO Kijiji cha isangijo
More Videos

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu ya Ugonjwa
  • Fomu ya Kusafiri nje ya Kituo cha kazi
  • Sheria ndogo za Halmashauri
  • Fomu ya Opras
  • Fomu ya Maombi ya Likizo
  • Fomu ya Quotation ya likizo
  • Taratibu za mikutano na uendeshaji shughuli za Halmashauri
  • Mwongozo wa Uwekezaji Mkoa wa Mwanza
  • Utaratibu wa kutoa Leseni ya Biashara

Viunganishi Linganifu

  • Wakala ya Serikali Mtandao.
  • Wizara ya Afya
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti kuu ya serikali
  • Ofisi ya Taifa ya takwimu Tanzania
  • tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

Visitors Counter

Ghostwriter

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Magu. Haki zote zimehifadhiwa