kamati ya Fedha Uongozi na Mipango ni miongoni mwa kamati za kudumu za Halmashauri ya Wilaya ya Magu. Kamati hii inaundwa na wajumbe 9 wahe. Madiwani sita (7) na Mhe. Mbunge mmoja (1) wa Magu na Mbunge viti Maalumu (1).
Majukumu ya kamati hii ni pamoja na kusimamia na kudhibiti shughuli za mapato na matumizi, kutoa ushauri kuhusiana na mali za Halmashauri, kusimamia na kutimiza ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri kama ilivyo elekezwa kwenye kanuni za kudumu za mikutano ya Halmashauri za mwaka 2002. Orodha ya wajumbe wa kamati hii ni kama ifuatavyo
NA |
JINA |
KATA |
WADHIFA |
1 |
Mhe. Hilali Nassor Elisha
|
Nyanguge
|
Mwenyekiti
|
2 |
Mh. Gilang'hinda Busiga
|
Nkungulu
|
M/Mwenyekiti
|
3 |
Mhe.Kiswaga Boniventura Destery
|
Mbunge Jimbo la Magu
|
Mjumbe
|
4 |
Mhe. Maria N. Kangoye
|
Mbunge viti Maalum
|
Mjumbe
|
5 |
Mhe. Enos Ng`wanabuta
|
Lutale
|
Mjumbe
|
6 |
Mhe. Lucas Deleli
|
Bujashi
|
Mjumbe
|
7 |
Mhe. Marco Minzi
|
Bukandwe
|
Mjumbe
|
8 |
Mhe. Naomi Masele
|
Viti maalum Isandula
|
Mjumbe
|
9 |
Mhe. Machibula Lucas Deus
|
kahangara
|
Mjumbe
|
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Magu. Haki zote zimehifadhiwa